Anakula sana bangi siku hizi..
Blue ana scandal ya poda...
Chuki binafsi ivi unajua nyimbo ya pesa imeingiza shngp?
Kwani wimbo wake wa kwanza 'Bluubluu' unatofauti gani na Pesa,mbona kote karap?Kwani Tabasam unatofauti gan na Pesa but mbona Tabasam ulihit sana? Blue nnayemjua mimi sikuzote ndo huyuhuyu anayerap na kuimba,rap yake ndo ileile laini huwez ifananisha na ya kina Fid,ni rap ambayo hata nikiwa na shemeji yenu tunasikiliza pamoja.Mfano juz ni nilikuwa ufukwen na shemeji yako nikamuwekea kitu chenye mistari."Waandishi wa habari nao wanataka habari,Mi sina habari niko beach napata upepo wa bahari". Lol I really love the song

Msalimie shemeji yetu.
Aliyeleta mada anabomolewa. Mfyuuueeee.....