Mkuu achana na hiyo kitu utaibiwa, alafu kama unatabia ya kujaza email address yako kwenye mitandao ya kijamii mbali mbali jaribu kuwa na e mail addresses mbili ili unayoijaza kwenye document muhimu kama bank accounts iwe tofauti na ya social network, pia usi -entertain strangers, wizi umeshamiri siku hizi.