Kwa wenye ufaham,plz naomba msaada katika hili

willeteo

Member
Jun 24, 2013
44
15
Napokea emails znazontangazia kazi ya kutasfiri lugha online.mfano emails, muvi subtitles,documents,books etc kwenda lugha tofauti kutoka kwenye kingereza.
Ila nnapoendelea kufatilia,wananiambia natakiwa nnachingie dola 34,baada ya hapo kaz uhakika.but am not sure with these thing,naogopa kuibiwa.so any one who knows plz tell me about zis.
Emails hzo znatoka kwa mellisa hoover kuja kwangu.
 
Mkuu achana na hiyo kitu utaibiwa, alafu kama unatabia ya kujaza email address yako kwenye mitandao ya kijamii mbali mbali jaribu kuwa na e mail addresses mbili ili unayoijaza kwenye document muhimu kama bank accounts iwe tofauti na ya social network, pia usi -entertain strangers, wizi umeshamiri siku hizi.
 
Thenk u!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom