kwa wataalamu wa kompyuta..

mwantui

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
1,639
Reaction score
845
Habari za uzima wana jf....wakuu nina compyuter yangu hua ninaitumia kila siku bila kunisumbu ila leo kila nikiiwasha inatoa mlio kama wa alarm hivii nikajaribu kufungua ili nijue mlio huo unatokea wapi nikakuta ni AUX POWER ndio inayopiga kelele huku ikitoa rangi ya green .nikiconect monitor,mouse,pamoja na key board vyote havifanyi kazi.naombeni msaada magreat thinkers.
 
Toa RAM kisha zirudishie hakikisha umechomoa power cord. kisha washa computer yako..
 
hapo ram au hard disk zimekaa vibaya. kama mdau hapo juu alivosema zima pc yako toa ram kisha zirudishe. kama mlio unaendelea seek technician advice
 
Mara nyingi hizo beep huwa zina idadi, unaweza kuzihesabu?
Kwa swala la memory alilosema mkuu hapo juu hutoa beep tatu ambazo zinajirudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…