Kwa wapenzi wa arsenal. Alipoondoka
kapteni veira akaenda juventus, kocha
wa juve capello msimu ulo fata akahama,
kapteni thiery henry alipo hamia
barcelona kocha wao franc rijkad mcmu
ulofata akahama, kapteni fabrigas alipo hamia tena barca kocha wao tena pep
guadriola akahama, na sasa kapteni van
pasie kaenda man u, fargason nae
anasepa. Kumbe wachezaji wa arsenal
wanagundu