Ningependa kuuliza, mwanafunzi ambaye hakupata chuo mwaka 2019 ila sasa anaomba na anakutana na shida kuwa taari asha sajiiliwa inakuwaje je ndo mfumo wa sasa hivi na afanyaje?
Kama upo Dar, nakushauri uende pale mnazi mmoja kwenye maonesho ya vyuo dawati la TCU utapata maelezo mazuri na kama ni chuo hakika ukiombea hapo huwezi kukosa nafasi!

Hapo ungeelezea vizuri ni mfumo wa chuo gani umekukataa na je mwaka jana ulifungua acc ya kuapply chuo hicho na je umejarib kuapply vyuo vingap ikakutokea ivyo
Habari tena chuo jilicho apply ni bugando ila kwa bahat nzuri nimeweza kuwasiliana na tcu na wamenitoa kweny system na nimeweza kuapply.
Awali ilikua inagoma nikapiga bugando wakaniambia niwasiliane na tcu wanitoe kwnye system

Pre admission mjitokeze kwa wingi muombe chuo chetu pendwa chenye madhari mithili ya Paris nacho ni UDOM ... Kila course bacherol degree ipo.
Tukutane Nov 23.