Wanna JF kwa waliotumia au wanaotumia simu ya Tecno P5 kuna tatizo nimekumbana nalo ,Mimi huwa nina Betri ya akiba nimeinunua mara ya kwanza inapoisha ninapobadilisha na kuwasha simu inawaka kwa muda mfupi halafu inatulia tu yaani ukigusa screen hakuna kufungaka halafu inajizima lakini haizimiki moja kwa moja neno Tecno inabaki kwenye screen hadi utoe betri. hali hii hujurudiarudia mpaka inakera. Haya yamejitokeza tangu jana. Naomba anayefahamu anisaidie
Uninstall program zote ulizoziweka hivi karibuni, especially Launcher,antivirus na program zote zinazoRun at startup kama vile skype,viber,facebook,whatsapp. Pia ondoa memory card na uhakikishe kuna free space ya kutosha kwenye internal memory. Tumia battery original hiyo ya akiba iweke kando kwanza.
Asante nimeondoa apps nilizoweka jana sasa mambo ni poa.
kweli tecno kuna wataalam..maant tecno kimya tehetehe
mnaibiwa pesa yenu bure
Sina hakika kama wanaibiwa wanaponunua tecno, ila sidhani kama samsung wanatoa bure... Pia its the matter of choice. And people need a phone/mobile which can do 1.., 2.., 3.,,,,etc. people are NOT after names
samsung hawatoi bure ila simu zao ni kiwango huwezi kujutia pesa yako.tulishapata somo toka kwa wataalam wa humu jf kuwa bei ya simu za tecno ipo juu ukilinganisha na material yanayozitengeneza wengine tumeongoka ila wengine bado.simu bora si samsung tu kuna htc,lg,experia nk
Hii imepigwa na tecno P5 nenda na samsung yako unipigie picha hiyo tuje tulinganishe.
ngoja tusibishane kwa mambo ya kitaalam unaona hata wataalam wote kimya sana.ubora wa simu hautapimwa kwa picha yapo mambo mengi ya kuangaliwa