Kwa wanaohitaji ramani za majengo mbalimbali, we have your solution

etb

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
270
Reaction score
191
Betha home plans tunadesign aina mbalimbali za ramani za majengo kutokana na mahitaji ya wateja wetu.....karibuni tujenge pamoja........
 

Attachments

  • BED3.jpg
    37.5 KB · Views: 981
  • pj4.jpg
    44.5 KB · Views: 647
  • pj12.jpg
    55.2 KB · Views: 648
  • pj7.jpg
    35.9 KB · Views: 698
Kwanyumba ya vyumba vitatu na master
 
Betha home plans tunadesign aina mbalimbali za ramani za majengo kutokana na mahitaji ya wateja wetu.....karibuni tujenge pamoja........
contact:0754559220
email:bethad25@gmail.com

Picha za nyumba au ramani
 
Reactions: etb
Betha home plans tunadesign aina mbalimbali za ramani za majengo kutokana na mahitaji ya wateja wetu.....karibuni tujenge pamoja........
contact:0754559220
email:bethad25@gmail.com

Weka bei
 
Reactions: etb
unaweza kunidizainia ramani ya nyumba ya mbao?ya vyumba vitatu.
 
Reactions: etb
13942785]Betha home plans tunadesign aina mbalimbali za ramani za majengo kutokana na mahitaji ya wateja wetu.....karibuni tujenge pamoja........
contact:0754559220
email:bethad25@gmail.com[/QUOTE]

mwana jf... si kwamba nakuharibia biashara lakini kumbuka hii ni kinyume cha sheria.
hapa www.aqrb.go.tz hapa utapata makampuni yote yaliyosajiliwa kisheria kufanya kazi hii. Na makampuni haya hayaruhusiwi kujitangaza. Kama inavyofanyika hapa!
 
Reactions: etb
13942785]Betha home plans tunadesign aina mbalimbali za ramani za majengo kutokana na mahitaji ya wateja wetu.....karibuni tujenge pamoja........
contact:0754559220
email:bethad25@gmail.com

mwana jf... si kwamba nakuharibia biashara lakini kumbuka hii ni kinyume cha sheria.
hapa AQRB hapa utapata makampuni yote yaliyosajiliwa kisheria kufanya kazi hii. Na makampuni haya hayaruhusiwi kujitangaza. Kama inavyofanyika hapa![/QUOTE]

poa mkuu hujaharibu kitu....asante!
 
Mkuu ungeweka na bei zako ingekuwa poa sana
 
Reactions: etb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…