king gold chain Member Joined Jul 15, 2017 Posts 61 Reaction score 20 Jul 19, 2017 #1 Eti vipi wakubwa kuhusu Chuo cha Southern College of Tanzania? Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,986 Reaction score 189,587 Jul 19, 2017 #2 Mkuu ungeongeza maelezo zaidi
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,656 Jul 19, 2017 #3 Kajifunze kwanza kuandika kwa staha ndio utapewa majibu
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,862 Reaction score 113,330 Jul 19, 2017 #4 Au bado unaongea na sim...[emoji15] [emoji15]
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,656 Jul 19, 2017 #5 Ushimen said: Au bado unaongea na sim...[emoji15] [emoji15] Click to expand... Comrade huwezi kuamini huyo ni Form Six anaandika hivyo
Ushimen said: Au bado unaongea na sim...[emoji15] [emoji15] Click to expand... Comrade huwezi kuamini huyo ni Form Six anaandika hivyo
MoneyHeist4 JF-Expert Member Joined Jul 10, 2017 Posts 2,139 Reaction score 3,228 Jul 19, 2017 #6 Hizi mitandao inaharibu, hapa kufaulu yataka moyo.
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,862 Reaction score 113,330 Jul 19, 2017 #7 Joseverest said: Comrade huwezi kuamini huyo ni Form Six anaandika hivyo Click to expand... Amigo.... Kweli Tanzania bado tuna safari ndefu sana...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Joseverest said: Comrade huwezi kuamini huyo ni Form Six anaandika hivyo Click to expand... Amigo.... Kweli Tanzania bado tuna safari ndefu sana...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,656 Jul 19, 2017 #8 Ushimen said: Amigo.... Kweli Tanzania bado tuna safari ndefu sana...[emoji2] [emoji2] [emoji2] Click to expand... True kabisa
Ushimen said: Amigo.... Kweli Tanzania bado tuna safari ndefu sana...[emoji2] [emoji2] [emoji2] Click to expand... True kabisa