Oooh sawa sawa kwa wanaume najuaga hatuna shida but kwa dada zetu 😂😂 sijui wanakwama wapi akiwa na kitu atatukan mali zangu lakini sisi hatunaga hizoHivyo vitu ni vyako, havimuhusu mkeo. Sababu wazazi wako wamekuwezesha wewe ili ukaanze maisha.
Angalizo: Hivyo vitu wawe wamekupa siku tofauti na ya harusi. Kama wamekupa ukumbini siku ya reception basi itahesabika ni zawadi ya harusi na mkeo atakuwa na uhalali navyo.
Unforgetable
Mnafanya wqtu waogope kuoa sasa.. yaani nimepigika miaka 10. Nimeoa zangu mke hana kitu tofauti na vitenge alivyo pewa kwenye sendoff (harusi za uswahilini ) halafu siku tumeachana tugawe mali sawa.
Kama anataka tugawe sawa basi inabidi wote tuanze from scratch. Tushinde njaa pamoja, tulalie mkeka, tubebe zege pamoja.
Binafsi namuonea huruma sana Jeff wa Amazon
So mkuu unamaanisha zawadi mnazopewa siku ya harusi or send off kwa dada zetu haziusiani kuwa ni mali za wanandoa bali ni mali ya mtu mmoja mmoja !!?Sheria iko wazi sana Mali ambazo hamkuchuma pamoja si Mali za wanandoa ni Mali za aliyechuma Mali za wanandoa ni zile ambazo walichuma kipindi mko pamoja mahakama inaweza kutoa uamuzi wa kugawana Mali ambayo hamkuchuma pamoja kama tu Kuna sababu za msingi sana kufanya ivyo endapo ni nyumba ambayo Mme aliijenga kabla ya ndoa mahakama inaweza kusema kumfidia mke kwa kufanyia marekebisho mbalimbali ambayo yalifanya ile nyumba kuwa nzuri kipindi chote walichoishi pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
"Nitakuwa nawe kwa shida na raha,changu chako,chako changu... nitakuwa nawe kwa uzima na maradhi mpaka kifo kitakapotutenganisha"Mnafanya wqtu waogope kuoa sasa.. yaani nimepigika miaka 10. Nimeoa zangu mke hana kitu tofauti na vitenge alivyo pewa kwenye sendoff (harusi za uswahilini ) halafu siku tumeachana tugawe mali sawa.
Kama anataka tugawe sawa basi inabidi wote tuanze from scratch. Tushinde njaa pamoja, tulalie mkeka, tubebe zege pamoja.
Binafsi namuonea huruma sana Jeff wa Amazon