hezron kihiyo
Member
- Sep 3, 2015
- 20
- 4
KaribuNahitaj kupima uwezo wako
Wewe tu karibu ata guiter la live ukitaka njooonahitaji pindi pia.. ila chords za piano na guiter.. unifundishe kupiga live kwenye midi keyboard sio kwa kupanga chords kwenye piano roll kwa computer
Wewe tu karibu ata guiter la live ukitaka njooo
Me nipo dar kinondon sasa funzo litafanyika sehemu mbili artkingdom rec tabta au ki ghettoMkuu unafundishia wapi nijiunge fasta...
Me nipo dar kinondon sasa funzo litafanyika sehemu mbili artkingdom rec tabta au ki ghetto
Mwana kwa kinondoni kwangu imekaa fulesh...kigetogeto mwake..Me nipo dar kinondon sasa funzo litafanyika sehemu mbili artkingdom rec tabta au ki ghetto
Bhac tutapiga ki ghettoMwana kwa kinondoni kwangu imekaa fulesh...kigetogeto mwake..
Me studio napofanya kazi ni tabata mwananchi na kighetto ni kinondon B sasa wewe utachagua wapi panakufaaaniko tayari mkuu... unafundishia wapi location ? maana naishi ubungo
Me studio napofanya kazi ni tabata mwananchi na kighetto ni kinondon B sasa wewe utachagua wapi panakufaaa
Karibu bromimi napokaa na tabata mwananchi natembea tu kwa mguu... ndio maana nikashauri studio... nitakupigia simu tuyajenge
0659 281692mimi napokaa na tabata mwananchi natembea tu kwa mguu... ndio maana nikashauri studio... nitakupigia simu tuyajenge