kwa wakaka mliooa na msiooa pia...

Hii nitaipitia baadae, huu ni muda wa muajiri.
 
sio kesi mkuu...mimi nilisoma hiyo ishu mahali nikaona nisiongeze chumvi wala sukari, nikaichukua km ilivyo na kuwaletea ndugu zangu hapa ili tufaidi wote...wanasema kizuri shea na mwenzio jamani au ??????
I have copy and paste....can't you come with your own ideas based on your own experience?
 
ATM zikiwa zanasoma 24hours nitakupenda 4rever & ever & ever & ever & ever & ever & everrrrrrrrrrrrrrrrr
Unaona sasa...........!!!!!!!!!,ila najua wengi ni maneno tu mnachangamsha javi usijekuta umeolewa au una mchumba hata hizo hela hana za kukupa daily ni za mahesabu mpaka mwisho wa mwezi, pesa si kitu katika mapenzi,mapenzi ya kweli hayanunuliwi kamwe na ndiyo maana pesa zikiisha na mapenzi huisha lakini penzi la kweli huwa halitegemei uwepo wa pesa!
 
Hiyo tip namba moja ni hatari sana kuifanyia kazi. Kama umeyoka kwenye mahusiano yaliyovunjika ni hatari sana ku-rush kwenye mahusiano mapya maana unaweza kujikuta unarudia ulikotoka na kuumizwa kwa mara nyingine. Wengi hukimbilia mahusiano mapya wakiamini kuwa watawasahau wapenzi wao wapya haraka na pia kujifariji kwamba bado wana "soko", its a big mistake.

Kwa mtu aliyetoka kwenye uhusiano uliovunjika, kwa upande wangu naona ni vyema ajipe muda wa kukaa na kuevaluate uhusiano wake wa mwanzo ulivyokuwa, chanzo cha mgogoro, nini kimekwamisha suluhu kupatikana nk. Wakati huo pia akipata muda wa kupumzisha ili kutuliza akili yake na kuondoa stree. Hii itakusaidia kuwa makini kwenye mahusiano mapya kwa umakini na kuchukua tahadhari mapema na kuanza ukurasa mpya kabisa na uhusiano mpya badala ya kurush kwenye uhusiano mpya ambao ni kama utakuwa unaendeleza uhusiano wa zamani
 
Nina maanisha wala sichangamshi, muda penzi la kweli umepita, nilishakuwa na penzi la kweli, hadi kumpa mtaji ili tu nilinde penzi langu baada ya hapo niliambulia pa tupu pamoja kujitutumua kote, km huna hela unaweza kuchapa lapa
 
Ooooh! pole sana
 
sio kesi mkuu...mimi nilisoma hiyo ishu mahali nikaona nisiongeze chumvi wala sukari, nikaichukua km ilivyo na kuwaletea ndugu zangu hapa ili tufaidi wote...wanasema kizuri shea na mwenzio jamani au ??????
Sharing is Caring !! ....hizo nasiha poa na muwafaka.
Mashkurra !!
 
Eti tips, hakuna kitu kwenye ndoa kama vitu viwili tu.

Heshima yako na pesa zako, hata mkipelekwa course za mapenzi, kama huna hivyo viwil hakuna ndoa hapo ya kudumu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…