balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,839
- 15,669
kuna huyu kijana alipost anatafuta kazi,nikamtafuta akadai ana nauli pungufu.Tukakubaliana nimtumie nusu nauli.Nilimtumia lakn siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia watsaup.Nilkoment jinsi alvyofanya baadaye akanitafuta akidai alivamiwa na vibaka wakampora kila kitu.Akaniahid atakuja ,kweli akaja Dar Es Salaam had nyumbni ,nikamuonesha maeneo ya kazi zangu.Nikawa nafanya naye huduma ya wakala wa miamala ya pesa.Ikabidi awe anawahi kufungua maana aikuwa anakaa karibu.Asubuhi ya Leo kachukua laki sita,simu mbili na line NNE na ametoa pesa zote kakimbia.Pale get to alipokuwa anakaa ma vijan wenzake kawibia nao pesa zap.Ripoti nimetoa kituo cha polisi Zealander bridge na RB ninayo.Anaitwa Aman ,ID yake humu no Kababrah.Picha yake ni
Vijana wamekuwa wapuuzi sanaKuna mwingine sijui ni jana au juzi kaleta uzi kuwa member mwenzetu fulani amefariki msiba uko sehemu fulani.
Baadae watu wanatoa pole si moderator wakagundua marehemu na aliyeleta habari ni mtu mmoja ikabidi waunganishe zile I'd πππ
Humu kuna majambazi mkuuππππKuna mwingine sijui ni jana au juzi kaleta uzi kuwa member mwenzetu fulani amefariki msiba uko sehemu fulani.
Baadae watu wanatoa pole si moderator wakagundua marehemu na aliyeleta habari ni mtu mmoja ikabidi waunganishe zile I'd πππ
π±π±π± aiseeeKuna mwingine sijui ni jana au juzi kaleta uzi kuwa member mwenzetu fulani amefariki msiba uko sehemu fulani.
Baadae watu wanatoa pole si moderator wakagundua marehemu na aliyeleta habari ni mtu mmoja ikabidi waunganishe zile I'd πππ
Sema na wewe unazingua, yani unambeba mtu humu mitandaoni humjui vizuri unaenda kumweka kwenye miamala?
Sasahivi huwezi kumjua mhitaji na tapeli hivyo wanawekwa kapu mojaHumu kuna majambazi mkuuππππ
Kuna mwingine sijui ni jana au juzi kaleta uzi kuwa member mwenzetu fulani amefariki msiba uko sehemu fulani.