Unajiaibisha na hilo jina lako, tena wewe kama ni soda lazima itakuwa pepsi.
kwani nani alikuambia alijitoa kugombea? au wewe ni wale wanaosoma magazeti ya ccm yanayochochea kila kukicha? mwulize yeye atakupa jibu.
Acha Hoja Nyepesi, Use your time wisely sio kuzua vitu ambavyo havina msingi.Huo ukabila ndo umefanya Chadema washinde Mbeya,Kigoma,Shinyanga,Dar, kilimanjaro,Arusha,Mwanza,Mara,Iringa,Singida!!Mikoa yote hiyo ina kabila la chadema??Acha ubaguzi usio kuwa na msingi. Nahisi huna elimu ya kutosha kuweza kupambanua mambo,unaamini chochote kinachoandikwa na kusemwa katika vyombo vya habari vya ccm!!Kwa taarifa yako humu sio facebook,mijadala ya kitoto yote kaongee na kina Kibonnde labda watakusaidia.