Kaka ni kweli lkn sijui ni kwa nini. Pengine ni jambo ambalo linahusisha imani, maanake wengi wa wanaokumbwa na mambo hayo huwa wanakuwa na sbb, pengine marehemu alisema azikwe sehemu fulani na wao wanampeleka sehemu nyingine.
Hata mimi mwenyewe nitazua varangati, maana nimewaambia nikifa nizikwe pale kwenye ikulu ya marekani, sasa any attempt kunizika sehemu nyingine itaambatana na radi na mvua ya mawe.
ukimsafirisha maiti kichwa kiangalie anakotoka , sio anakoenda "hii ni moja ya sbb kuu".. pia consent sehemu ya kumuhifadhi marehemu izingatiwe endapo aliacha usia wa wapi azikwe. na mwisho hakikisheni hakuna ufisadi utakaofanyika kwa kile alichokiacha hadi hapo atakapohifadhiwa ktkt nyumba yake ya milele!
Kunaa jamaa walikuwa wanasafirisha maiti kutoka Dar - Singida kufika Morogoro gari moja iliyokuwa kwenye msafara ikaligonga gari lenzake kwenye msafara kwa nyumba na kulichakaza!!!!!kuna jamaa zangu wanasafirisha maiti kutoka Dar kwenda Mwanza, tairi za coaster zimepasuka leo pale Dodoma.
Mfumo wetu wa elimu ndio unazalisha watu kama huyu sasa... "Takwimu ambazo siyo sahihi lakini zina ukweli..." Tunajenga Taifa la vigagula vyenye ma imani yasio na vichwa wala miguu wala uelewa.[/FONT]QUOTE]Takwimu ambazo siyo sahihi lakini zina ukweli ndani yake ni kwamba misafara mingi sana...
Mfumo wetu wa elimu ndio unazalisha watu kama huyu sasa... "Takwimu ambazo siyo sahihi lakini zina ukweli..." Tunajenga Taifa la vigagula vyenye ma imani yasio na vichwa wala miguu wala uelewa.
Kwa hiyo umekusanya takwimu za kichawi chawi ambazo we mwenyewe unasema sio sahihi lakini zina ukweli!