Asante.Tupo pamoja,mimi nitakuwepo maeneo ya vip ili nione vizuri kabisa. :amen:....napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha nyote katika uwanja wa Taifa leo kushuhudia soka ambalo halijawahi kushuhudiwa toka kocha wa zamani wa team ya Taifa Marcio Maximo amalize kipindi chake cha kufundisha soka hapa nchini, katika mchezo ambao Yanga wanatarajia kuanza ligi rasmi.
Nyote mnakaribishwa.
natrarajia siku si nyingi utapotea hapa jamvini kama ulivopoteleaga jukwaaa la mapenzi na mahusianovipi mtakatifu tom (chilala) ni kweli kachapishwa yebo?
....napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha nyote katika uwanja wa Taifa leo kushuhudia soka ambalo halijawahi kushuhudiwa toka kocha wa zamani wa team ya Taifa Marcio Maximo amalize kipindi chake cha kufundisha soka hapa nchini, katika mchezo ambao Yanga wanatarajia kuanza ligi rasmi.
Nyote mnakaribishwa.
Sasa hivi pumba ndio zimekaa kwenye kilele cha ligi kwenye hizi mechi za mwanzo mwanzoni.
Ligi itakapokuwa inaendelea, taratiibu cream itaanza kupanda kuchukua nafasi yake pale juu!
Ligi zote duniani ziko hivo. EPL kwa mfano Man U huwa wanaanzaga kwa kusuasua lakini mwisho wa msimu top 2.
natrarajia siku si nyingi utapotea hapa jamvini kama ulivopoteleaga jukwaaa la mapenzi na mahusiano
....napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha nyote katika uwanja wa Taifa leo kushuhudia soka ambalo halijawahi kushuhudiwa toka kocha wa zamani wa team ya Taifa Marcio Maximo amalize kipindi chake cha kufundisha soka hapa nchini, katika mchezo ambao Yanga wanatarajia kuanza ligi rasmi.
Nyote mnakaribishwa.
anslem unamaanisha kuna nn hapo? sasa naanza kukuogopa.....na..na..na..na... simba tutawafunga ngapi?😛ound:Wahenga walisema "siri ya mtungi aijuaye ni kata" hamjiulizi kwanini sikuwakaribisha kule Mbeya au pale Jamhuri Morogoro nikawakaribisha jana Taifa...?
Narudia tena, mwaka huu mtaiongelea sana Yanga hata kama ni kimoyomoyo, sasa ndo imeanza Ligi rasmi na hiyo tarehe 3 October iwadie tu.