Kwa mara ya kwanza naomba kumtetea Zitto Zuberi Kabwe!

Katika wanasiasa vijana wa upinzani, mh. Zitto ni moja ya nguzo kubwa sana katika kuwabana watawala kwa hoja na vidhibitisho. Ndiyo maana CCM wamemlenga yeye kwa gharama kubwa ili kusambaratisha upinzani in the future. Kutetereka kwa Zitto katika siasa, kumepoteza ladha ya siasa za upinzani, na kumefanikisha watawala kupandikiza propaganda zao kirahisi. Sasahivi ananyemelewa mh. Lissu, ukija sikia kapewa uwaziri ujue upinzani byebye for the next many years.
 
Mwambie kwa kutumia uzalendo wake basi akane kila tukio la yeye kupewa pesa na CCM na kuziingiza kwenye account ya mpenzi wake Germany

Toa nakala za ushahidi Wa Zitto kupewa pesa na maCCM, Otherwise acha kutumika Kama MISUKULE isiyojitambua!
 
Nimeamini kweli kua zitto ni jemedari, mana CDM mmeshamvua nyafidha zote lakin bado hatoki midomoni mwenu jamani kwanini? sasa iweje kila siku zitto zitto, why hamuishi kumdiscus na kuongea ngonjera zilezile zilizo zoeleka?.. Sónga mbele ZITTO waache waendelee kuongea ngonjera zao!!!..
 

uko sawa mkuu.
 
akili ya zito ni zaidi ya viongozi na wanachama wote wa chadema kwa pamoja
 
Vyovyo watavyosema Zitto n mzarendo na anasimamia kile anachokiamin na akisemacho

Mtahangaika sana vibaraka vyake! nadhani ni fursa kwake kusimamia anayoamini akiwa act na wasaliti wenzie!
 
Ushahidi wewe msukule usilete hadithi za kumezeshwa na babu

Kelele zenu haziwezi kumrejesha cdm,alishakuwa zilipendwa! kwa nini msijiunge naye act? hamuoni kuwa mnapoteza muda wenu bure? kwetu ccm=act,coz hata mashabiki wake ni walewale!
 

thread haina uhai mrefu hapa!......
 
Toa nakala za ushahidi Wa Zitto kupewa pesa na maCCM, Otherwise acha kutumika Kama MISUKULE isiyojitambua!

Hivi kwa akili yako,unadhani zile laki 2 na 150,000 alizokuwa anawatumia masalia zilikuwa zinatoka wapi? kwa mamayo au? na kwa nini hajawahi kukanusha? au anaogopa kuumbuliwa na aliokuwa akiwatumia? jitambue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…