Dah!i know u guys,ntawatafuta ili mnisaidie kupata bidhaa kutoka China.Kazi njema braza.Haina shida nyote mnakaribishwa! Tunapatikana kupitia namba zifwatazo, +8613524159707,+86 13127807205 hapo unaweza kutupata kwa whatsapp na kwa njia ya simu, email address justineluvanda@gmail.com , shafiihamisi@gmail.com, Karibu sana.
Asante ndugu,karibu sana.
Asante sana ndugu yangu, tunashukuru. Tafadhali usikose semina na mikutano yetu tutakayoifanya mwakani kwanzia January 2014 katika mikoa mbali mbali Tanzania. Tutawasiliana sana tutakapofika Tanzania. Siku njema
Usikose hakika...tunajua utapata elimu ya kubadirisha mtazamo wako katika biashara. Siku njema.
Kwa mteja atakae nunua bidhaa kutoka CWB atasafirishiwa mzigo wake mpaka kuupata,CWB inausafiri binafsi ambao inatumia kufikia mahitaji ya wateja wake. Kwasasa hatuna huduma za kusafirisha mizigo ya wateja nje ya CWB. Nadhani nimejibu swali lako ndugu.