Kwa mahitaji ya wapishi mashuhuri

Yasser Kagire

Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
31
Reaction score
21
Habari zenu wakuu,

Kama unashughuli yako iwe Harusi, Send off, Msiba au Sherehe ya aina yoyote na unatafuta wapishi wa chakula kitamu na kuvutia, basi jibu lako ni MAMA JAMILA.

Wasiliana nasi kwa namba 0716948602.

Huduma popote inakufikia
 
Kama nataka anipikie nyumbani Mimi mwenyewe vipi? Huduma hivyo ipo
 
Huduma inafika popote? Acha masihara chief. Hebu taja upo mkoa gani.

Maana naweza kufanyia harusi yangu katika sayari ya Mars sasa sijui kama huko mnaweza kuja kupika au kuleta huduma!
[emoji1] [emoji1] acha utani mkuu, Mars tena!!.? Sisi tunapatikana Dar Es Salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…