naona limekubamba mbona yamekuuma, hii posti nimeikubali leta yako basi yenye kichwa na miguu. pole mkuuDogo tafuta kazi hizi posts zisizo na kichwa wala mguu unazojaza JF zinajaza tu servers.
Wewe ndo Maxence Melo au mkewe?Dogo tafuta kazi hizi posts zisizo na kichwa wala mguu unazojaza JF zinajaza tu servers.
Wamekupa limbwata, si bureInawezekana hao uliowazungumzia ni wasichana wadogo n mostly students.
Pia ukifanya utafiti utagundua labda ni 20% ya wasichana wote wa Tz watakaokujibu hivyo.
Siwatetei, ila mabinti wengi wa sasa wanajielewa sana na mambo ya Play stations 3,4 na xbox games wanaona ya kitoto.