NIMEKIMBIA CCM
Senior Member
- Oct 4, 2011
- 193
- 26
hivi how much do these people receive kwa kukampenia power mongers?
And what is the ultimate cost of all these to our country?
na ule mpango aliofanya na usalama wa taifa kuwawekea sumu mwakyembe na mwandosya unauzungumziaje?
Jamani tuweke tofauti ya vyama na itikadi ze2,ndio El amekumbwa na kashfa nying sana,but mkubali, mkatae Edward Lowasa alikuwa ni kiongozi muajibikaji sana mfano ni kule kujiuzuru(ieleweke alikuwa ana uwezo wa ku2mia mabavu kuendelea kuwa waziri),naamin hiki kilio cha wanafunzi wa vyuo vikuu kukosa mkopo waziri mstaf angekuwa kashafanya mamuz mazur,huu n ukweli kwa upande wa uzuri wake,ntamkumbuka sana lowasa kwa kufanya maamuz magumu hasa kung'atuka bada ya kuikosea jami'
SASA CJUI MWENZETu(mze wa kukenua) UTAJIUZURU AU!
huu ugonjwa wa kuandika ama kusema waziri mkuu mstaafu kuna nishangaza sana. Ugonjwa huu uko sasa tbc1 na star tv, huyu bwana alijiuzuru huwa mnaogopa nini kusema hivyo? Kwakuwatazama mnaonekana mmesoma kwa jinsi mnavyopigilia pamba bila kukosea, iweje issue nyeti kama hii ya waziri mkuu kujiuzuru mnaikosea?