marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,113
- 1,952
Atakae pinga mchawiVyura watapinga na hili
Msimu huu itakua zaidi sasa maana kahata ana zake 20+ kagere zake 20+ kanda 20+ bado boko hapo na kina shiboubYaani msimu uliopita ukichanganya goal difference ya Yanga 29 +33 ya Azam ndio unapata goal difference ya mabingwa wa Nchi Simba 62 .
Halafu kuna mapoyoyo walikuwa wanalalama.
KabisaHii ndo maana ya Next level # Taifa kubwa
Hii kitu hata Tp mazaembe hawana sio kawaida hii kwa vilabu vya Africa na hata ulayaJAMBO LA KAWAIDA SANA, SIONI JIPYA HAPO
Ni wivu tuJAMBO LA KAWAIDA SANA, SIONI JIPYA HAPO
Hahaha yaah kwa ajiri ya fansWakuu hiyo app ni ya simba official?
Au janja janja za watu?
Sio kweliJamaa anapromote app yake kijanja kaweka mpaka link [emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio official App ya Simba acha janja. . Promote App yako kwa njia ingine. .shubamiit
Mhhh, bado sijadownload,, nangojea wadau waseme kwanza [emoji3][emoji3]Hahaha yaah kwa ajiri ya fans