PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Ndugu wana JF,
Wenzangu na wanachama wa CHADEMA wapenzi na washabiki nawapa pole kwa tukio na msiba wa wenzetu walio poteza maisha yao,jana Soweto Kaloleni, nilishngazwa na jeshi la polisi kwa kitendo chao cha kuwapiga watu mabomu na risasi za moto, nilijiuliza maswali haya; [1]kulikua na ulazima gani jeshi la polisi kupiga mabomu watu na risasi za moto kutumika
[2]nimepata mashaka labda jeshi la polisi lilitaka kufanikisha mtuhumiwa atoroke bila kukamatwa
[3]ilitakiwa jeshi la polisi lishirikiane na wananchi kufanikisha kumkamata mtuhumiwa kama walivyo fanya kule Olasite, sasa tunapata mashaka kwamba jambo hili lilipangwa, naomba tutafakari pamoja wana JF wenzangu juhu ya jambo hili la jana naomba michango yenu,

Pole kwa wale wote walioathirika kwa namna moja ama nyingine maana hayo sio mambo ya kumwombea Mtanzania mwenzako.
Na pili pongezi kwa waheshimiwa Mbowe, Lema na viongozi wengine wa CDM waliokuweko katika tukio. Maana safari hii hawajaja na kauli za haraka za shutuma dhidi ya CCM kama tamko la chama na wao wakiwa kama watu waliokuwepo kwenye mkutano huo ndio ukakamavu wenyewe huo maana si muda muafaka wa kuanza kutoa isia halafu mahala ambapo CDM ina support kubwa inavyooneka the situation could have spiraled out of control or worsen.
Kuna sababu gani ya kupiga bomu mkutano wa chama tawala hiwapo nia na madhumuni ni kuleta mfarakano, kwenye mkusanyiko wa CCM kama itatokea hali mbaya na kukawa na matatizo mwishowe polisi wakatumia excessive force, sanasana wananchi watasema ukiona hivyo ilibidi polisi kufanya hivyo (na CCM hawato toa shutuma dhidi ya chama kingine bila ya ushahidi) kwa hivyo kama mtu alikuwa na nia mbaya mpango wake mzima utaanza kuaribika mapema CCM aitoruhusu wanachama wake wafanye fujo za aina yeyote (be it kwa uwaziwazi).Kwa hiyo BOMU limelipuliwa na nani kama siyo sisiemu?! .... Kwa nini mkutano wa CCM haukushambuliwa?
Ndugu wana JF,
Wenzangu na wanachama wa CHADEMA wapenzi na washabiki nawapa pole kwa tukio na msiba wa wenzetu walio poteza maisha yao,jana Soweto Kaloleni, nilishngazwa na jeshi la polisi kwa kitendo chao cha kuwapiga watu mabomu na risasi za moto, nilijiuliza maswali haya; [1]kulikua na ulazima gani jeshi la polisi kupiga mabomu watu na risasi za moto kutumika
[2]nimepata mashaka labda jeshi la polisi lilitaka kufanikisha mtuhumiwa atoroke bila kukamatwa
[3]ilitakiwa jeshi la polisi lishirikiane na wananchi kufanikisha kumkamata mtuhumiwa kama walivyo fanya kule Olasite, sasa tunapata mashaka kwamba jambo hili lilipangwa, naomba tutafakari pamoja wana JF wenzangu juhu ya jambo hili la jana naomba michango yenu,
Lakini we cant assume people will resort to such devilish acts for the sake of controlling Arusha (who knows may be they can, maana baada ya tukio tu watu wengine wameshaanza kuilaumu serikali wakati hawapo hata nchini), sasa hizo facts wamezitoa wapi.
Hila sisi wengine tunaona hili swala ni gumu sana na linaweza kuwa na huge implications huko mbele hivyo ni bora uchunguzi ufanyike independently ikiwezekana hili kukata mzuzu wa fitina walianza na kanisa na waumini wasio na hatia, sasa wanaanza kuichokoza demokrasia yetu na kuwaua wasio na hatia i dont think we can afford to accept unsubstantiated allegations zisizo na kichwa wala miguu considering the long term stability of our nation is at stake.