MSUKULE ni mtu aliechukuliwa kwa nguvu za giza ili atumike kwenye shughuli zisizohitaji akili kama kulima shamba kwa faida ya mwenye Msukule. Chadema inawatumia vijana wasiojitambua kama misukule kwenda kufanya maandamano yasiyo halali na vurugu huku wao viongozi wakipokelewa na watoto na wake zao wakiwa na sukari na mkate na pia wanakaa majumbani kwao wakiwaangalia kwenye TV wanavyokula mkong'oto. Wakati sisi tuliandamana tunaingia nyumabani tukijificha na ukuta hadi kitandani tuwaacha watoto wetu wakipiga miayo sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini kumbe baba alikuwa anarukaruka barabarani akiwatengenezea watu wengine maisha,
Umemshangaa kama mimi. Mada inazungumzia juhudi za wizara ya uchukuzi kurudisha imani ya wateja wa bandari ya dsmIsh....are you ok upstairs?......could anyone tell me what this guy was trying to say?
Ish....are you ok upstairs?......could anyone tell me what this guy was trying to say?
tatizo ni kwamba tunachanganya siasa na maslahi ya taifa. hili suala la uchumi ni tatizo la kitaifa. wengi hapa jamii forum wanapenda kudiscuss sana watu kuliko mambo yanayo ihusu nchi yetu kwa ujumla. serikali ikikosea isemwe. ikifanya vizuri isifiwe. wengine wanaona kuwa kumsifu waziri wa ccm ni kosaUmemshangaa kama mimi. Mada inazungumzia juhudi za wizara ya uchukuzi kurudisha imani ya wateja wa bandari ya dsm
halafu mtu anakurupuka usingizini kulalamikia viongozi wa chadema! Huyu mkurupukaji ananidhihirishia wazi kwamba yeye ni mmoja wa wale wasiokuwa na akili timamu!
MSUKULE ni mtu aliechukuliwa kwa nguvu za giza ili atumike kwenye shughuli zisizohitaji akili kama kulima shamba kwa faida ya mwenye Msukule. Chadema inawatumia vijana wasiojitambua kama misukule kwenda kufanya maandamano yasiyo halali na vurugu huku wao viongozi wakipokelewa na watoto na wake zao wakiwa na sukari na mkate na pia wanakaa majumbani kwao wakiwaangalia kwenye TV wanavyokula mkong'oto. Wakati sisi tuliandamana tunaingia nyumabani tukijificha na ukuta hadi kitandani tuwaacha watoto wetu wakipiga miayo sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini kumbe baba alikuwa anarukaruka barabarani akiwatengenezea watu wengine maisha,
Muh. Charles Tizeba, Naibu Waziri wa Uchukuzi. Kwa muda wa miezi miwili sasa kuna mengi yameandikwa kuhusu kudorora kwa mahusiano kinchi kati ya Tanzania na Rwanda. Lisemwalo lipo lakini jambo hili limechochewa na kukuzwa na vyombo vya habari.
Wengi tulikua tunahisi kuwa hatua itakayofuata ni kila nchi kumrudisha balozi wake nyumbani. Wiki iliyopita kuna habari ilizagaa kuwa Rwanda na Uganda hazitotumia tena Bandari ya Dar kuanzia Sept. 1. Habari hii ina ukweli japo Rwanda na Uganda hazikutoa tamko la mwisho la kukotumia bandari yetu. Ilikua ni tahadhari ya awali.
Mwishoni mwa wiki, Naibu Waziri wa Uchukuzi Muh. Charles Tizeba alitumwa na Serikali kwenda Rwanda kukutana na Waziri mwenzake pamoja na wafanyabiashara wanaotumia bandari ya Dar. Lengo la ziara lilikua kuweka mambo sawa ili bandari yetu iendelee kutumiwa na Rwanda.
Muh. Tizeba aliwaambia wafanyabiashara na waziri wa uchukuzi wa Rwanda kuwa alimtuma mtu kutoka wizarani ili akasafiri kwenye lori kwa lengo la kushuhudia kero za barabarani. "Yule niliemtuma alisema kuwa walisimamishwa njiani mara 107. Ni kwenye mizani na check points za polisi na TRA. Kuanzia leo tumepunguza idadi ya mizani kwa malori ya Rwanda. Lori zitapimwa Vigwaza, Singida na mpakani. Vituo vitatu tu. Watu wa TRA na POlisi nao watacheki malori kwenye hizo mizani." Jambo hili liliwafurahisha wafanyabiashara ukizingatia kuwa bandari ya dar ipo karibu na Rwanda kuliko ile ya Mombasa. Wameahidi kutumia bandari ya Dar.
Naipongeza serikali kwa kwenda Rwanda haraka iwezikanavyo. Waziri aende Uganda kwa lengo hilohilo! Kama mawaziri wote wangekua wana react immediately, tungekua mbali kimaendeleo. Hongera Mwakyembe na Tizeba!
WanaJF, hivi ni lazima vituo viwe vingi kiasi hiki!? Hamdhani kuwa suala la utitiri wa mizani na check points linahitaji mjadala wa kitaifa? Basi la kwenda Tanga kutoka Dar linapimwa Kibaha, Msata na Tanga kabla ya kuingia Stendi. Hivi pana haja ya kupima basi mara tatu au zaidi? Nawasilisha!
the problem with many guys on JF is hating discussing national issues. they like discussing people while using abusive language. in other countries, topics regarding national interest like this one I have posted, usually get a big number of people contributing positively or negatively.
Je unajua vilevile kuwa kulikuwa na kikao cha Baraza la Mawaziri wa usafirishaji, mawasiliano na hali ya hewa (TCM) la Jumuiya ya Afrika Mashariki ambalo Mh Tizebwa aliwakilisha TZ? Ndio maana alikuwa Rwanda.
MSUKULE ni mtu aliechukuliwa kwa nguvu za giza ili atumike kwenye shughuli zisizohitaji akili kama kulima shamba kwa faida ya mwenye Msukule. Chadema inawatumia vijana wasiojitambua kama misukule kwenda kufanya maandamano yasiyo halali na vurugu huku wao viongozi wakipokelewa na watoto na wake zao wakiwa na sukari na mkate na pia wanakaa majumbani kwao wakiwaangalia kwenye TV wanavyokula mkong'oto. Wakati sisi tuliandamana tunaingia nyumabani tukijificha na ukuta hadi kitandani tuwaacha watoto wetu wakipiga miayo sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini kumbe baba alikuwa anarukaruka barabarani akiwatengenezea watu wengine maisha,
nadhani huyo bwana bado yuko na hang over kama angekua na akili timamu asingeandika upuuzi huo,,,,,,,mkuu uko sawa kweli au siasa zinakuchanganya.?