wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 559
Usaniii huu kauleta lowasa. Tabia za wiziwizi tuu. Wameagiza na kuwaajiri foreigners wakenya, wa Angola sijui na wengineo kuja kudukua kura kwwnye mifumo ya NEC. Hivi kweli shutuma hiz ni kweliiiii
11. Wanajaribu kutumia msiba wa Mawazo (RIP) kama kete ya kisiasa Mwanza - watafeli.Ukawa kila mbinu inafeli
1.Walimsimamisha Lowassa, wakamtupa Dr.Slaa -wamefeli
2.Wakamdanganya babu Duni atoke CUF ahamie CDM hata hivyo -wamefeli
3.Wakawadanganya Sumaye na Kingunge waamie Ukawa still -wamefeli
3.Wamedeki barabara za lami ili Lowassa apite -wamefeli
5.Wamekodi vijana wa Mtandao -wamefeli
6.Wamezomea zomea bungeni lakini hotuba ya Magufuli imefunika -wamefeli
7.Walidhani Ndugai ni yule wa mwaka jana atawavumilia -wamefeli
8.Wakawadanganya wananchi eti kura za Lowassa zimeibiwa wakaona kimya -wamefeli
9.Wamesusia sherehe za kuapisha wakidhani ACT wataunga mkono - wamefeli
10.Wameleta Ole Medeye na Sakaya -wamefeli
alaah kumbe ndio maana wameshupalia mambo ya zanzibar ili kutupumbaza wakati katiba ipo na hawataki kuisoma
11. Wanajaribu kutumia msiba wa Mawazo (RIP) kama kete ya kisiasa Mwanza - watafeli.
Hamna cha uchochezi wala nini hapo. Kila kitu kipo wazi kabisa. RIP Alphonce Mawazo.Acha uchochezi wewe. Msiba wa Mawazo na mada uliyochangia wapi na wapi.
Suala la msiba usifanyie mchezo.
Labda nikuulize swali, wale vijana wa ccm waliokuwa wanajumlisha matokeo pale Mlimani City walikuwa na mpango gani na taifa hili?