verosa ni gari poa sana ni classic ukipata nyeusi ni tamu mno na usiwe na shida ndogo ndogo service kwa wakati utaipenda ni nzito njian imetulia mkuu hio gari naitamani sana kuanzia side miror ndani, engine vvti tatizo ni bei ya mkaa ......verosa itabaki kuwa juu