kwa aliyetayari kua mume wangu

Lorisy

Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
74
Reaction score
36
Habari zenu wanajf

Mimi ni msichana natafuta rafiki wa kiume ambaye anaweza kuja kua mume na baba wa watoto wangu..
Ningependa awe kijana mwenye umri kuanzia 31 na asizid 35,Awe mkristu mcha Mungu,Awe na elimu ya juu nakuendelea,,Kwa mtu aliye siriazi ani PM.
 
Mwaka huu, kila mtu anatafuta mchumba.
Kila la heri mama, Mungu akubariki.
 

Duh! nimependa kujileta, Bomba, sifa nyingi ni kama zangu. Mbona zako hujasema? Tusije fika mahali tuakimbiana kama wengine! Nipo Tayari upo wapi eee! nhhhhu!
 

Me niko tayari,cv napeleka wapi?
 

Can you also give your qualification(s) if don't mind? I'm serious.
 
Mi nataka KESHO...........
 

if you real mean it , pm me.
 
we ndo mwenye shida ya mume,ni PM basi,hujui wanaume gharama karne hii oooh
utasubiri
 
Ku PM sijui, ila nichek kwa cm namba 0659751370 ili 2wekane sawa! Nina cfa na vigezo vyote uvitakavyo.
 
sio rahisi kama unavyofikiria, mume mwema hutoka kwa Mungu.
 

mimi nipo sawa nicheki kwenye 0716078484
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…