Kisiya Jr.
Senior Member
- Nov 21, 2011
- 102
- 30
Habari zenyu wanajamvi.
Binafsi naamini kila binadam anapenda kupendwa bila kujali hali yake ya kiuchumi wala kielimu au kasoro yoyote ile.....
Acha longolongo zako mkuu, MKONO MTUPU HAULAMBWI................................Kwa mfano flesh graduate wa chuo hapa kwa men hawezi kupata mpenzi,kisa hana kazi hivyo hana hela. Wanawake wengi bado wanahisi wenyewe ni watumiaji tu sio wataftaji,hawezi kukaa na kijana kama Mimi tukajipanga nae tukatengeneza maisha na kuwa historia ya mafanikio.........
Acha longolongo zako mkuu, MKONO MTUPU HAULAMBWI.
halafu jamaa kasema" kijana kama mimi" ina mana hana kazi au kipato kinachoeleweka?aacha longo2 wanaume kazi yetu kutunza familia bila hivyo heshima hupati ndani
kwa mfano flesh...fresh..
umekuja na gia kuukuu kweli.....
haya twakusubiri......
khaaaa!! hivi kweli bado kuna wanawake wenye mentality ya spending tu dunia hii ya sasa hivi ambao wanategemea mkwanja kutoka kwa kidume?. Thanx God kwa kunipa mwanamke mchakalikaji na anayejua nini maana ya maisha ya kusaidiana. Kwahiyo mleta uzi unamaanisha unataka hapa jamvini ajjitokeze mwanamke akupende hivyo hivyo kutokana na sifa zako ulizozielezea au vipi?
Kundi la wasema ukweli???? Niweke tu.Hizi kauli zenu ndo zinazowaponza. Rekebisha kauli yako othwz nitakuweka na ww ktk hilo kundi
Kundi la wasema ukweli???? Niweke tu.
Mapenzi hayao utayapata kwa aliyekuzaa tu, hata nao pia wanaangalia siku hizi. Lord have mercy!
mwambie huyo...mwanamke atakupenda koz una kitu fulani. madamex jamani mie waniacha hoi na ukweli unaowapaga hawa watu.
Mapenzi hayao utayapata kwa aliyekuzaa tu, hata nao pia wanaangalia siku hizi. Lord have mercy!