Habari wana jamii.
Naomba msaada. Kijana wangu amehitimu kidato cha sita Ifunda tech lkn matokeo yake hayapo. Amewekewa E* E*__________. Je manaake nini ? Na ili kujua tatizo nianzie wapi kufatilia??