Kuzini kunaua nyota!

Nasian Ressy

Senior Member
Joined
Jul 12, 2026
Posts
120
Reaction score
302
Mwili wako ni hekalu takatifu la mungu.ukizin umungu ulioyo ndan yako unatoweka.

Mwil wako unaanza kuvamiwa na roho za giza zinaa pia inaua nyota yako unaanza kufeli kimaisha,kimasomo nk

Tendo la ndoa ni zawadi Mungu aliyowabarikia wana ndoa.kama hujaoa na unazin ujuwe unajichimbia kabur mle
 
Kuzin kunaleta aibu kipind utapooa mkeo atakukimbia kisa hamtoshelez na nguv zako ulizichezea
 
Mtu aziniye na mwanamke hana akili imeandikwa afanya jambo litakalomuangamiza nafsi yake.
 
Ujinga mwingi sana ninyi wafia dini,Nina jamaa yangu hapa ,Tena wawili, majogoo yao hayapandi mtungi, kama kufanya mapenzi Kuna ya nyota,mbona maisha yao ni magumu sana kuliko Mimi ninaye shenyenta K.?

Miminilishakataa kuhubiriwa dini na watu wa elimu za kuokoteleza, angalau kidogo naweza kumsikiliza padre,huyu ana elimu Dunia na elimu dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…