frozen Senior Member Joined Aug 12, 2010 Posts 135 Reaction score 32 Jan 28, 2012 #1 Wadau, nawasalimu! Naomba msaada namna gani naweza weka video kwenye ipod, files converter ipi ni nzuri?
Wadau, nawasalimu! Naomba msaada namna gani naweza weka video kwenye ipod, files converter ipi ni nzuri?
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 537 Jan 28, 2012 #2 Pakua iTunes halafu sanikisha kwenye tarakilishi yako. Ingawa zipo programu mbadala lakini iTunes ni mahsusi zaidi
Pakua iTunes halafu sanikisha kwenye tarakilishi yako. Ingawa zipo programu mbadala lakini iTunes ni mahsusi zaidi
frozen Senior Member Joined Aug 12, 2010 Posts 135 Reaction score 32 Jan 28, 2012 Thread starter #3 Yah nimejaribu I tunes inakata..ila kwa upande wa kuweka music hamna shida, tatizo ni videos, inaniambia format yake haikubaliki.
Yah nimejaribu I tunes inakata..ila kwa upande wa kuweka music hamna shida, tatizo ni videos, inaniambia format yake haikubaliki.
Wi-Fi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,091 Reaction score 1,388 Jan 29, 2012 #4 frozen said: Yah nimejaribu I tunes inakata..ila kwa upande wa kuweka music hamna shida, tatizo ni videos, inaniambia format yake haikubaliki. Click to expand... tafuta total video convertor then kwenye ku-convert select ipod mpeg afu ikishamaliza unaweza ku-sync kama kawaida na itaingia kweny ipod..
frozen said: Yah nimejaribu I tunes inakata..ila kwa upande wa kuweka music hamna shida, tatizo ni videos, inaniambia format yake haikubaliki. Click to expand... tafuta total video convertor then kwenye ku-convert select ipod mpeg afu ikishamaliza unaweza ku-sync kama kawaida na itaingia kweny ipod..
M mchajikobe JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 2,678 Reaction score 1,279 Jan 29, 2012 #5 frozen said: Yah nimejaribu I tunes inakata..ila kwa upande wa kuweka music hamna shida, tatizo ni videos, inaniambia format yake haikubaliki. Click to expand... Tumia software moja inaitwa any video converter,convert hizo videos into mp4,alafu zi synclonize kwenye itunes kama kawaida!!!
frozen said: Yah nimejaribu I tunes inakata..ila kwa upande wa kuweka music hamna shida, tatizo ni videos, inaniambia format yake haikubaliki. Click to expand... Tumia software moja inaitwa any video converter,convert hizo videos into mp4,alafu zi synclonize kwenye itunes kama kawaida!!!