Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,415
Unatumia CMS gani kutengeneza website yako?
Una ujuzi gani katika kutengeneza websites) ? hii kitu ni combination ya languages zisizo chini ya 3 (PHP,Javascript,XML,HTML) na database unaweza kutumia mysql,oracle e.t.c... Kama unazifahamu hizo language zilizotajwa hapo juu unaweza kutengeneza your own chatroom tena kiurahisi sana (kama ni programmer mzuri)..... Ukiweza kusema ujuzi wako katika web development ninaweza kukupa some guidance itakayokuwezesha kufanikisha hiyo task
"Give a man a fish and you feed him for a day. Teach a man to fish and you feed him for a lifetime"--
Hiyo ishu inahitaji muda kutengeneza database na ni fani za watu huwezi mtu kuumiza kichwa halafu iwe bure mimi naweza sema utanilipa.
Una ujuzi gani katika kutengeneza websites) ? hii kitu ni combination ya languages zisizo chini ya 3 (PHP,Javascript,XML,HTML) na database unaweza kutumia mysql,oracle e.t.c... Kama unazifahamu hizo language zilizotajwa hapo juu unaweza kutengeneza your own chatroom tena kiurahisi sana (kama ni programmer mzuri)..... Ukiweza kusema ujuzi wako katika web development ninaweza kukupa some guidance itakayokuwezesha kufanikisha hiyo task
"Give a man a fish and you feed him for a day. Teach a man to fish and you feed him for a lifetime"--
bei gan
Ok kama una ujuzi kwenye Php na HTML nipe email yako baadae nikupe code za chatroom na nitakupa maelezo ya database wewe utaiboresha unavyopenda ww kazi ikiwa nzuri utanipooza kwa soda.
info@nasmiletz.com nakutegemea mkuu
Tayari nishakutumia