Kuwa mkweli, hapa utafanyaje?

kufanya nini mkuu..
kwani mawazo yako yako wapi?
tunaongelea kupiga makofi..
ila okay ni usiku... ni haki yako kuwaza hivo

kufanya tizi mkuu,
mawazo yangu yapo uwanja wa mazoezi
kwetu jioni kumbe kwenu usiku??
 
kwa nini ampige!hakuna vyombo vya dola?akili itatumika na sio nguvu kama yeye anazotumia nitamfanyia kitu kibaya atakaa anisahau
 
Namvizia kwenye oblongata yake kwisha kabisaa kupigana sio nguvu akili tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…