Kuwa mkweli, hapa utafanyaje?

mwanaMtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
2,393
Reaction score
1,433
NIgga swali gani ilo unauniuliza? Nampenda demu wangu sana.. Kama mwanaume nliokamilika ntasimama kidete na kumuacha jamaa amshuhulike ipasavyo.. we unaleta utani nini. cheki jitu kwanza ilo miraba kumi si minne.. Baby nakupenda ila kiherehere yako itakuponza, inakuaje unachokoza jitu ka ilo? ********************************************************* nakumbuka niliahidi kukulinda na ntazidi kukulinda kwa kutumia DUME kwenye maswala ya kupigana huko pigwa tu mamy.
 
wa hivi huwa hawajui kufanya
kufanya nini mkuu..
kwani mawazo yako yako wapi?
tunaongelea kupiga makofi..
ila okay ni usiku... ni haki yako kuwaza hivo
 
Kama ugomvi ameuanzisha huyo baunsa ntamtetea lkn kama kaanzisha yeye aa namwaacha apigwe

we unaona io sura ni yakuskiza la mtu?
hapo either apigwe demu ama uingilie mpigwe wote.
 
Yani huyo jamaa usijaribu kumsogelea maana anaweza kukufanya historia kwa waioshuhudua tukio, ila dawa yake unamkalia mbali kama m 50 hivi, alafu unapomoromosha mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…