homogeneity
Member
- Apr 20, 2021
- 35
- 21
Mkuu mtu ana predict maswali yote 5? Kuna ambayo ni common but kutaja matano afu akute kama yalivyomaswali ya oral yanajulikana mbona na kama mtu amefanya interview nyingi yanarudiwa tu yaleyale
Habarini wakuu,
Mimi siyo mwandishi mzuri Ila naamini ntaeleweka. Kuna madogo Jana nlikutana nao sehemu katika story wakawa wanalalamika Kwamba walifanya usaili wa Tanzania Forest Services (TFS) Agency wakafanikiwa kupita usaili wa awali/ written interview but walivofika oral wakawahi kuingia namba zao walijisajili mwanzoni then walobaki nje mmoja wao akatoa maswali wakayajadili kama yalivo matano wakayakuta katika usahili Ila wakati huo zaidi ya nusu kama sikosei 15 walikua washafanya usaili.
Nilipojaribu kuwahoji zaidi wakadai angalau kipindi cha jiwe kidogo kulikua na fairness though siyo 100%. Je Kwa ishu kama iyo utumishi hawana namna ya kujua kama mitihani Yao ilivuja? Na wakijua ni hatua zipi wanaeza kuzichukua? Na je ni kweli hivo vitu vipo? Binafsi nimewahi fanya usahili mara moja tuu wakanila kichwa ntaishia hapo hapo
Kama Penalty tu,maswali ya oral yanajulikana mbona na kama mtu amefanya interview nyingi yanarudiwa tu yaleyale
Mimi mara nyingi sina imani na oral interview sijui kwanini.Mkuu mtu ana predict maswali yote 5? Kuna ambayo ni common but kutaja matano afu akute kama yalivyo
Mi nayaomba hayo matano PM mkuu,nimeshindwa kutuma PM😊,ni mgeni wa hii kitu ila za kutumiwa naziona,nisaidie hiyo bcz soon nitakuwa kikaangonimaswali ya oral yanajulikana mbona na kama mtu amefanya interview nyingi yanarudiwa tu yaleyale
Kujiandaa kivp kamanda..Kaka hii hoja yako nzito sana. Jiandae kwa chochote