Wanawake siku hizi kama samaki tu yaani ukitongoza ni sawa umetupa ndoano mtoni ambapo utaona boya linacheza kabisa ila ukitoa chambo kimeliwa
Sawa na mwanamke unamtongoza na anaonyesha kabisa anataka ila analeta makeke mengi
Na ndio maana tukiwapata wanajuta maana watutabisha sana
Tena wale wanaosiwa kwa neema walizonao ndio wanazidi kulishia