Tatizo mwaka jana kuna watoto walitoka jeshi wakajaza kozi na wakakosa eti zimejaa so wakajikuta wanajaza kozi ambazo hawakuwa wakizitaka ili tu wapate vyuo. Sasa huko jeshini hizo vocha mtawalipia au maana hata simu mmewanyang'anya tutawapataje. Mi mtoto wangu nimemjazia kwani data zote aliacha. Vp kuhusu bodi ya mikopo nako itakuaje maana walifunga june.