Kutoka policcm hadi kuwa polichadema.....kaaazi kwelikweli

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
Chadema waliwabatiza Police kwa kuwaita POLICMM baada ya Police kuwa wanayazuia maandamano yao. Tumeshuhudia huko Kigoma Police wanasaidiana na Wafuasi wa CHADEMA kudhibiti wafanya fujo kwenye mkutano wa Dr slaa. Sasa hapa tusemaje waungwana? Police wamegeuka kuwa Polichadema. Nimeamini ule usemi usemao USITUKANE WAKUNGA NA UZAZI UNGALIPO.
 
Attachments

  • 1476616_369232366556744_1162302594_n.jpg
    68.6 KB · Views: 698
  • 1455037_162936163916596_204962378_n.pdf
    116.4 KB · Views: 250
Polisichadema wameamua kumbeba mzee slaa bila polisi chadema babu leo angeipata.
 
Wamechoka kutumika na walafi ccm, sasa wamejitambua vema! ccm bye bye 2015
 
Polisichadema wameamua kumbeba mzee slaa bila polisi chadema babu leo angeipata.

Simiyu Yetu, Kweli siasa za kilaghai ndio matokeo yake! Wameeneza sana chuki kati ya police na wananchi, leo hii hao hao policcm ndio wanaowaokoa! Kweli kile kibabu ni laghai na ndio maana utumishi wa mungu umemshinda!
 
Last edited by a moderator:
Simiyu Yetu, Kweli siasa za kilaghai ndio matokeo yake! Wameeneza sana chuki kati ya police na wananchi, leo hii hao hao policcm ndio wanaowaokoa! Kweli kile kibabu ni laghai na ndio maana utumishi wa mungu umemshinda!
Ni kweli mkuu hawa chadema wametia aibu kweli siasa za kilaghai zinamwisho sasa jamii inawaona kweupe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…