Ataanza summaye aloyesain walaka wa kuuza nyumba hizo akiwa waziri mkuu,pia akumbuke kurudisha nyumba the serikali
swissme
Nenda kwa summaye akupe ufafanuzi wa kuuzwa nyumba hizo nafikiri utaelimika zaidi hautauliza tenaYote sawa lakini lini atarudisha nyumba za serikali?
QMbona misifa tu...Hakuna dira angalao ya mwaka mmoja?ongezeni wigo was kukusanya kodi.Hatuwezi kusifia kuwa mapato yameongezeka kutoka ya Jk maana shilingi yetu nayo inaporomoka kwa kasi. sana.
Mmebakia kuhamisha magoli tuMbona misifa tu...Hakuna dira angalao ya mwaka mmoja?ongezeni wigo was kukusanya kodi.Hatuwezi kusifia kuwa mapato yameongezeka kutoka ya Jk maana shilingi yetu nayo inaporomoka kwa kasi. sana.
Na kukafufua kale ka boat ketu kalikopaki pale Navy.... MV Dar Es Salaampia akumbuke kurudisha nyumba the serikali
swissme
pia akumbuke kurudisha nyumba the serikali
swissme
Sijawah kupendezwa kabs na Rais wang Magufuli Mungu anisameh, nature yake tu hainibariki istoshe hajafanya makubwa kama inavyosemekana usanii mwng
Mtu kutegemea mabadiliko ndani ya ccm ni sawa na kusubili Fast Jet Ubungo terminal
Hahahhahaah asubiLi tu!endelea kusubiLi tu ubungo terminal, itatokea tu kwa fastjet kutua pale, kwani ndio maana ya muujiza.. kwa kasi ya fast jet wanavyo ongeza route kila baada ya muda mfupi, watafika tu.. usikate tamaa, subiLi tu..