Sasa mbona yaliyotoka moyo wa Dudubaya mnayapinga?! Kutoa yake ya moyoni sio lazima ziwe sifa, hata lawama ni yametoka moyoni mwake. Ukipenda kupendwa jua wapo wanaokuchukia kwa magnitude ileile unayopendwa.Bongo ukifa ukiwa maarufu ni tatizo mmeshaingiza uchama kila aliyeguswa na Ruge katoa ya moyoni Lowassa Maalimu Seiph Kikwete.hawa ni vyama tofauti mtu yoyote aliyefanikiwa lazima achukiwe na wachache
Hahaha kweli nchi imemilikishwa kwa watu Fulani. Yani umpendaye kwa sababu zako nami nalazimika kumpenda kwa sababu zako hizohizo?Kumchukia Bashite ni kosa la jinai.
Hawezi kunyanyuka tena, muda wake ulishapita. Watu tulioruka debe kipindi anatamba na nyimbo kama nampenda mpezi usiopenda chapaa sasa hivi tunakaribia kupata wajukuu. Yule anapambana na historiaDudu baya Moja ya Lawama zake Ni kudhulumiwa Na Ruge Na Clouds
Lakin hapo hapo analaumu Clouds kumpotezea
Sasa Kwanini ulaumu anaekudhulumu akiamua kufanya nawe Biashara ya kukudhulumu?
Dudu baya anatuambia Kila Mara Kuwa Clouds wamemshusha kimziki Ila anajizuia kutuambia nani alimpaisha Ki muziki
Ujinga ni kutaka usaidiwe ki lazima
Hapo hapo analalamika kudhulumiwa Halafu analalamika hawakuwa Na Mkataba ( Makubaliano), sasa Kama ulikubali kufanya Kazi Na Mtu bila ya makubaliano hoja ya kusema kakudhulumu inatokea wapi?
Ruge kaondoka, tunatega masikio Na macho kushuhudia utajiri wa Billionaire Mlevi asie Na akili
Umesema kweli na mimi sipendi unafiki, kujipendekeza ili upate kitu bila kujali unaumiza wangapi. Hata kam Ruge ataenda peponi, hiyo ni business yake na Mungu, wapo miongoni mwetu tuliobaki wanayo yakuueleza umma ambayo wele wampendao hawapendi kuyasikia.Dudu katoa ya moyoni ata kama katoa wakati usio sahihi lakini kwamwaga nyongo yake .
Najua na naamini wapo wengi walimchukia Marehemu na wana maoni yanayofanana na ya Dudu ila UNAFKI .
Tz kwa unafki tunashika no moja Duniani na ndio kwa asilimia kubwa unaotutafuna.
Kiongozi mkubwa au Tajiri anaweza akautubia watu kwa kuwakejeli au kuwatukana na pengine kafanya maamuzi ya kuwaumiza Watu wanashangilia na kupiga makofi huku unaumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
I would care less about ajira, but I respect him as a human. Yani wewe unawatukuza waliokuajiri tu, unasahau utu wa mtu. kwani who is Ruge by the way, unadhani kwakua kuna watu aliwapa ajira hivyo wooote tutamtukuza.Who the hell is dudubaya??? Katoa hata ajira kwa watu wawili? Mxiewwww
I would care less about ajira, but I respect him as a human. Yani wewe unawatukuza waliokuajiri tu, unasahau utu wa mtu. kwani who is Ruge by the way, unadhani kwakua kuna watu aliwapa ajira hivyo wooote tutamtukuza.
I will stand by Dudubaya, unafiki mbaya sana.
Hahaha hayo maisha yao mimi namuunga mkono Dudubaya, hakutaka unafiki hata kama atabaki peke yake aliyasema aliyotaka kusema na huo ndio uanaume sio kuwa mnafiki na kujipendekeza.hahaa kama wewe unavyostand na Dudubaya,wengine wana stand na Ruge..
hakuna anayekulazimisha umsujudu Dudubaya,ila ndio utolerate kuwaona wengine wanamsujudu Ruge katika mazingira hayo hayo ambayo wewe umo….kila mtu ana choice yake mkuu...tusilazimishane…
who is Ruge???? leo kufa wewe au huyo Dudubaya uone kama hata watu wawili watajitokeza kweye mazishi yako….
Kama ni kutoka kimziki,Dudu baya sio msanii wa juzi,kama alibanwa alifanya nini kukabiliana na hilo...saa nyingine tuna attribute kushidwa kwetu kwa mtu mmoja..is not fair...
Alitoa ajira yes,kama humtukuzi kuna watu watamtukuza….ndio maana kunakuwaga na medal,badges,tuzo za heshima...ni wachache sana watafikia kupewa heshima ndani ya jamii..au wewe unadhania usipompa heshima basi watu wote hawatamuheshimu?? baki na lidudubaya lako..linachojua ni kutumia mabavu kumbe sehemu nyingine inayotumika ni akili… konki konki konki ...my Ars***
Hahaha hayo maisha yao mimi namuunga mkono Dudubaya, hakutaka unafiki hata kama atabaki peke yake aliyasema aliyotaka kusema na huo ndio uanaume sio kuwa mnafiki na kujipendekeza.
Dudubaya ana moyo kama wale waliotoa yao ya moyoni, Eti kwa sababu Magufuli alitweet kwanza akisikitishwa sasa Tanzania nzima tusikitishwe? Hata mimi sisikitishwi, Simfahamu ruge na sijui kwanini wanalazimisha uwe msiba wa taifa wakati ni msiba wa familia ya Ruge.
Mliosaidiwa nendeni mkaomboleze lakini sio mlazimishe na tusiomfahamu Ruge tuomboleze, sisi hatumfahamu zaidi ya kumsoma humu kwenye media.
Nitasimama upande wa Dudu baya, name sipendi unafiki vilevile na kujipendekeza mwiko.