nkonges100
Member
- Sep 27, 2015
- 12
- 3
Hyu kupona akifa tu tayar litapona na ataweza kutembea vizur kabsaHabarin za mida polen na majukumu nilikuwa napenda kujua kuna demu ametoa mimba alipewa kidonge kimoja cha kutoa na kingne akaanbiwa inabidi akiweke huku chin.Ila hakubahatika kukiweka ila leo akaenda kushafishwa na akaambiwa j5 arud kuweka kidonge uko chini . Lakin shda tumbo linamyonga hatar shda n nn mpk hvy na kingne linachukua muda gan kukata
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoa mimba wazoefu utawajua tuHawajamsafisha vizuri.ukishasafishwa haina haja ya kuweka kidonge na maumivu ya tumbo yanaisha na ku bleed kunakata
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema demu wako. Acha kusema "kuna demu mmoja"Habarin za mida polen na majukumu nilikuwa napenda kujua kuna demu ametoa mimba alipewa kidonge kimoja cha kutoa na kingne akaanbiwa inabidi akiweke huku chin.Ila hakubahatika kukiweka ila leo akaenda kushafishwa na akaambiwa j5 arud kuweka kidonge uko chini . Lakin shda tumbo linamyonga hatar shda n nn mpk hvy na kingne linachukua muda gan kukata
Sent using Jamii Forums mobile app