Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 660
- 600
Hyo naweza kuitumia hata kwa simu au ni lazma kwa pc tu?
Kwa sasahivi inabidi uwe na PC, maana inaoparate kwenye LAN. Ukiwa nje ye shule huwezi ku access data.Hyo naweza kuitumia hata kwa simu au ni lazma kwa pc tu?
Nipo pm kwako mkuuTunayo a proven working online software ambayo yaweza fanya hayo na zaidi... Tupatie mawasiliano yako tufanye appointment
Mkuu hii software ninayo ni web based app nicheki whatsapp nikutumie details uiangalie KwanzaaWakubwa shkamooni,wadogo marahaba,warika langu,zamda huu?
Kama heading ijielezavyo hapo juu. Ikiwa ww ni mtaalam wa computer science na unaweza ku creat software itakayoniwezesha kudhibiti mapato yote ya shule kimahesabu ya comp na kujuwa kiingiacho na kitokacho hata kama nikiwa barabarani na smartphon yang au laptop yangu,kufuwa maendeleo ya wanafunz,kujuwa uwajibikaji wa walimu na staff wengine ktk kazi, pia iwe software ambayo mtu yeyote anaweza kuwa na access nayo kwa shart la ku creat acount na kuwa na pswd maalum but awe na mipaka(asiweze kufuta mahesabu bila ya aproval yang) NJOO HAPA TUJADILIANE NAMNA YA KUFANYA KAZI
eSchool - Huu ni mfumo rahisi sana wa uendeshaji wa shule katika nyanja zote ikiwemo kutoa taarifa za kifedha, matokeo na maendeleo ya wanafunzi kwa wazazi bila kufika shuleni. Kwa maelezo na kupata Demo link Piga simu: 0752091896 au 0712717469Wakubwa shkamooni,wadogo marahaba,warika langu,zamda huu?