kutengeneza external hard drive

best bestest

Member
Joined
Apr 23, 2013
Posts
12
Reaction score
1
wakuu nina external hard drive Samsung 320 gb ilianza kuunguruma ghafla nikiiconnect haifanyi kazi ipo tu kama haijaconnectiwa haiwaki kitaa wala kusoma. msaada tafadhali
 
HD ikiwa inaunguruma au inatoa clicking sound basi hiyo ni physical issue na internals za HD. Kuiokoa ni gharama sana maana inabidi ifunguliwe kisha zitafutwe identical parts na kisha zibadilishwe vitu vyote hivyo vinahitaji utaalamu wa hali ya juu kidogo.

Pia kuna njia za kienyeji za kujaribu kuifufua kama kuiweka kwenye freezer usiku mzima au kuipiga piga, ila hizi ni za kujaribu ikishindikana kabisa maana unaweza kuleta uharibifu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…