Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,445
- 8,418
Alafu nisikie mtu anasema haipendi kazi aliyo nayo.
pikipiki ya kichina haina uzito sana
ina uzito gani hio pikipiki?
mbona kidogo sana hizo yakhe...Kwa anavoibeba sidhani kama inazidi kilo kumi na nane