Kiraka Kikuu JF-Expert Member Oct 3, 2011 5,904 1,976 Mar 29, 2012 #1 Jamani,hivi tatizo la kutafuna ulimi linatokana na nini? Tiba yake ninini? Mie ni miongoni mwa waathirika.
Jamani,hivi tatizo la kutafuna ulimi linatokana na nini? Tiba yake ninini? Mie ni miongoni mwa waathirika.
Amyner JF-Expert Member Jul 13, 2011 2,397 877 Mar 30, 2012 #3 Mambo eliah.. Mi nikiwa busy sometimes hiyo hunitokea. Wanasema ni tabia mtu anatoka nayo kuanzia utotoni. Sio ugonjwa.
Mambo eliah.. Mi nikiwa busy sometimes hiyo hunitokea. Wanasema ni tabia mtu anatoka nayo kuanzia utotoni. Sio ugonjwa.
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Oct 3, 2011 5,904 1,976 Mar 30, 2012 Thread starter #4 Poa Amyner. Huwa unajisikia comfortable mtu akikustua pale unapo kuwa unatafuna ulimi? Amyner said: Mambo eliah.. Mi nikiwa busy sometimes hiyo hunitokea. Wanasema ni tabia mtu anatoka nayo kuanzia utotoni. Sio ugonjwa. Click to expand...
Poa Amyner. Huwa unajisikia comfortable mtu akikustua pale unapo kuwa unatafuna ulimi? Amyner said: Mambo eliah.. Mi nikiwa busy sometimes hiyo hunitokea. Wanasema ni tabia mtu anatoka nayo kuanzia utotoni. Sio ugonjwa. Click to expand...
salito JF-Expert Member Dec 29, 2011 1,408 716 Mar 30, 2012 #5 na kula kucha je?mpnz wng ananiuzi sana na hii tabia ya kula kucha,sijui dawa yake nini?
Kimbweka JF-Expert Member Jul 16, 2009 8,597 1,683 Mar 30, 2012 #6 Duh kama unatafuna ulimi si utakuwa umetoboka kama tambara bovu mmmmh.............
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Oct 3, 2011 5,904 1,976 Mar 31, 2012 Thread starter #7 Kimbweka said: Duh kama unatafuna ulimi si utakuwa umetoboka kama tambara bovu mmmmh............. Click to expand... na wewe ni JF dokta???
Kimbweka said: Duh kama unatafuna ulimi si utakuwa umetoboka kama tambara bovu mmmmh............. Click to expand... na wewe ni JF dokta???