Ni wazo zuri mkuu kufanya matembezi kama haya ,unajifunza mengi na kupata informations nyingi tu za upande wa pili,ILA KITU CHA KWANZA KABLA HUJAANZA HATA KUFIKIRIA HIZI SAFARI PASSPORT NI MUHIMU!!!,huwezi vuka mpaka wa nchi nyingine bila utambulisho huu,na elewa kuna tofauti kubwa kati ya passport na visa(ni muhimu nalo hili ulielewe)ila kwa habari nzuri kwetu nchi nyingi za SADCC unahitaji kuwa na passport tu kuzitembelea.