Isizidi 2000 (2), crown ina nguvu rpm ikivuka moja tu chuma inasepa, usiilazimishe acha gari iende yenyewe utakuja kunishukuru baadae. Zingatia usipende kupata speed kubwa kwa muda mfupi itakughanimu kwenye mafuta maana rpm lazima iende juu sana. Kama ulishafatilia waendeshaji weng wa crown ni wastaarabu sana huwezi sikia muungurumo wa crown labda iwe mbovu, huwa zipo kimya kimyaaaa.
Hizo bei ni kubwa sana.Si vema kupost magari ya watu humu ila unakuta Brevis namba DL.. inasoma 7.5M na Brevis namba DF... inasoma 7M kitu ambacho ni ngumu kukuta IST ya namba hizo ikiuzwa kwa bei hiyo
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Asante umemweleza vizuri…usiforce gari kuchange gear
Kuna mtu uendeshaji wake hata IST haimpi 15km
Ni kweli crown engine kubwa lkn ina teknolojia nzuri
Piaa mwambie jamaa afatilie kuna gari inaitwa mazda cx-5 diesel 2200cc huko atapata mpk 18km/L sawa na passo yenye piston 3 na wala gari sio hybrid
Huu ni uongo Mkubwa, Crown ikupe 13Km/L?pia Crown ina offer vitu vingi zaidi ya brevis
Gari yenyew ishakuwa discontinued na manufacturers
Ukifatilia Vizuri soko la used crown limepanda sana
Hasa baada ya kupandishiwa ushuru
Kuagiza sahivi andaa 17-20 GRS180
Mkononi iliyonyooka kuanzia 10-14
Crown pia ina eco-mode ambayo ina consumptions nzuri ya mafuta kwa sisi tunaendesha vizuri tunapata 13km/L
Kuna watu sjui huwa wanatokea wapi na uongo wa namna hii, Yaani Mark X ikupe 17Km/L IST si itakupa 40km/LMkuu highway unamaanisha ukitoka Dar-Moro au Kimara-Posta? Stop and Go traffic sidhani kama kuna V6 itakuacha salama. Kama kuna mwenye crown naomba picha ya 13km/l ikiwa kwenye foleni au hata 9km/l
Mkuu Kuna city and highway.Mkuu highway unamaanisha ukitoka Dar-Moro au Kimara-Posta? Stop and Go traffic sidhani kama kuna V6 itakuacha salama. Kama kuna mwenye crown naomba picha ya 13km/l ikiwa kwenye foleni au hata 9km/l
Unakua huna tofaut na anaetumia ist kwenye wesepia Crown ina offer vitu vingi zaidi ya brevis
Gari yenyew ishakuwa discontinued na manufacturers
Ukifatilia Vizuri soko la used crown limepanda sana
Hasa baada ya kupandishiwa ushuru
Kuagiza sahivi andaa 17-20 GRS180
Mkononi iliyonyooka kuanzia 10-14
Crown pia ina eco-mode ambayo ina consumptions nzuri ya mafuta kwa sisi tunaendesha vizuri tunapata 13km/L
Asilimia kubwa ya matumizi ya crown ni city driving, naomba consumption yake. Assume unatoka Tegeta - Posta, hizo 13km/l huwezi kupata. Kama kuna mwenye ushahidi alete. Premio ingekosa sokoMkuu Kuna city and highway.
Highway kibongo bongo ni safari za mkoa, City driving in humu humu mjini kama posta tu mwenge
Asilimia kubwa ya matumizi ya crown ni city driving, naomba consumption yake. Assume unatoka Tegeta - Posta, hizo 13km/l huwezi kupata. Kama kuna mwenye ushahidi alete. Premio ingekosa soko
Premio la,ima iwe kimbilio zaid kwa sababu yenyewe inatembea km nyingi kuliko crown, ns ndio maana premio zilizojazana hapa bong ni za cc 1496 na kidogo zinafata 1790 zile zenye cc 2000 ni za kutafuta kwa tochi na hazina soko kabisa.Premio consumption yake imekaaje?
Si vema kupost magari ya watu humu ila unakuta Brevis namba DL.. inasoma 7.5M na Brevis namba DF... inasoma 7M kitu ambacho ni ngumu kukuta IST ya namba hizo ikiuzwa kwa bei hiyo
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kuna jamaa yangu yuko kinondoni analiuza 3M cash namba DH , jana kapewa 2.9 kakataa kama unalitaka sema
kwa namna hiyo gari lazima imtese na aipark tu. Hizo gari zinataka uweke full tank ndio utaenjoy sio mafuta ya kudunduliza kama anavyofanya [emoji23]Mana nikiwa naye katika misere mara kaweka wese la 60k mara kaongeza 30k
Premio la,ima iwe kimbilio zaid kwa sababu yenyewe inatembea km nyingi kuliko crown, ns ndio maana premio zilizojazana hapa bong ni za cc 1496 na kidogo zinafata 1790 zile zenye cc 2000 ni za kutafuta kwa tochi na hazina soko kabisa.
Crown kupata 13km/l inawezekana sana sema tu itategemea uendeshaji wako, hizo km 13 watu wanazipata hapahapa mjini na sio safari ndefu. Kwenye toyota Crown uendeshaji wako ndio unaamua gari itumiaje mafuta na usikatae.
Mbona Ist 1490 ya 2009 inatumia mafuta vizuri kuliko Ist ya 1290 ya mwaka 2006? Ulishawahi kujiuliza hilo limekaaje? Ukipata jibu hapo ndio utaelewa kwann Crown ina injini kumbwa zen haitumii mafuta mengi ukilinganisha na Brevis.
Mkuu leta screenshot 13km/l kwa crown, city driving. Otherwise hizi story tuu za vijiweni
Premio la,ima iwe kimbilio zaid kwa sababu yenyewe inatembea km nyingi kuliko crown, ns ndio maana premio zilizojazana hapa bong ni za cc 1496 na kidogo zinafata 1790 zile zenye cc 2000 ni za kutafuta kwa tochi na hazina soko kabisa.
Crown kupata 13km/l inawezekana sana sema tu itategemea uendeshaji wako, hizo km 13 watu wanazipata hapahapa mjini na sio safari ndefu. Kwenye toyota Crown uendeshaji wako ndio unaamua gari itumiaje mafuta na usikatae.
Mbona Ist 1490 ya 2009 inatumia mafuta vizuri kuliko Ist ya 1290 ya mwaka 2006? Ulishawahi kujiuliza hilo limekaaje? Ukipata jibu hapo ndio utaelewa kwann Crown ina injini kumbwa zen haitumii mafuta mengi ukilinganisha na Brevis.
IST Ziwekewe sehemu yao maalumu aisee juzi nimetembea 400 Km...kutoka MWZ kwenda Bariadi na Kurudi na mafuta nimetumia half Tank tu yaani approx 23 Liters...Brevis gari ya maana sana barabarani. Ina nguvu kubwa sana, yaani ndiyo gari inafaa kuendeshwa na Mwanaume. Unakuta Mwanaume anaendesha vitz. Ist na zingine halafu anataka atambe Kwa brevis. Gari lazima itumie mafuta
Bora useme ww unaeimiliki mkuu labda wanaweza kuamini, halafu wengi wanao bisha hawajawahi kumiliki Crown, hvyo wanavyosikia ina injini kubwa wanaamin lazima ile mafuta kumbe mambo ni tofauti. Kuna clip moja niliona Crowni ipo 180km/h halafu rpm ndio inakaribia kwenye 4 sasa hapo itakulaje mafuta? Wakati gari nyingine ukifika speed 150km/h rpm inakabia kwenye 5.True say consumption inategemea na ubora wa gari lako na uendeshaji pia,thou foleni pia inachangia kiasi
Lakini kama ulivosema mi ni shahidi namba 1
Napata 10-12 km hapahapa dsm Crown 4GR
Itakuwa uliendesha mwendo mkali sana, nakumbuka niliwahi kutembea na Allex ya cc 1496 Km 485 nikatumia robo tank...hvyo nilikuwa na uwezo wa kurudi nilipotoka, kama ist yako ni 1290 umetumia mafuta mengi. Labda ingekuwa 1496 zen ni AWD.IST Ziwekewe sehemu yao maalumu aisee juzi nimetembea 400 Km...kutoka MWZ kwenda Bariadi na Kurudi na mafuta nimetumia half Tank tu yaani approx 23 Liters...