Mm ninachoelewa watu hukimbia changamoto inayowatesa na kwenda kwenye unafuu, kwann uteseke na gari ambayo kuna mbadala wake na nikali hata kimuonekano?Tatizo ni unyumbu wetu tu, tukishaanza kuparamia gari aina fulani woote tunaenda. Hii ndo inasababisha gari aina fulani kushuka paap sababu kila mtu anataka auze aungane na wenzake walipokimbilia.
Crown na Brevis zinapishana kidogo sana. Lita moja brevis 11km wkat crown 12km mpaka 12.5, hii haiwezi sababisha gap kubwa hivyo la bei. Crown 1 iliyotumika nchini unapata brevis 2 tena ukikaa vzr 3. UNAZIKUMBUKA ALTEZZA? ULIKUWA UKIITAKA UNAUZIWA TSH NGAPI? NA WAKATI HUO HUO CRESTA GX100 ILIUZWAJE? SASA HIVI ALTEZZA BEI ZAKE?
Ccm nao wanajua tabia zetu hivyo wanaitumia kucheza na ushuru wa magari, ila ukiagiza bei huko nje hazitofautiani sana. Hata altezza bei bado ni nzuri tu, ikishaingia humu ndo inakuta watu wote wimbo ni crown inaporomoka bei.
Ndio bei zake hizo, tofauti na bei hyo labda ukaliuze mkoani ndio utabata hata 5
Hata hivyo zimeporomoka sanaNdio bei zake hizo, tofauti na bei hyo labda ukaliuze mkoani ndio utabata hata 5
Hii ishu ya master ni kweli.Mm ninachoelewa watu hukimbia changamoto inayowatesa na kwenda kwenye unafuu, kwann uteseke na gari ambayo kuna mbadala wake na nikali hata kimuonekano?
Brevis inzingua sana Abs master na bei yake ni laki 7 na kuendelea, na unaweza kufunga leo ukakaa nayo muda kidogo tu ikafa tena, changamoto hii imewafanya watu wengi kichukia Brevis....ndio maana watu wakaona wajisalimishe kwa mnyama Crown ambaye hana changamoto kama hyo.
W jiulize kwann Crown ni vigumu kushuka bei hadi sasa na wakati ina matoleo ya mapya zaidi. Inamaana haiwaboi wamiliki wake, inawapa wanachohitaji.
Kwa akili ya kawaida mtu mwenye kipato kikubwa atanunua Brevi ili apate nn? Mtu mwenye hela ndio huyo uliyesema anamili v8. Hata uwe ww siamini kama utapata hta wazo la hyo gari zaidi ya kuwaza magari makali zaidiMnaogopa brevis yaomesha wote vipato vinachechemea. Na wanao kokota mi v8 na mafungu jeshi mengine wasemeje?
NB mimi sina hata vitz old model. Kwahiyo tusiulizane
Zinazingua sanaHata hivyo zimeporomoka sana
Mm ninachoelewa watu hukimbia changamoto inayowatesa na kwenda kwenye unafuu, kwann uteseke na gari ambayo kuna mbadala wake na nikali hata kimuonekano?
Brevis inzingua sana Abs master na bei yake ni laki 7 na kuendelea, na unaweza kufunga leo ukakaa nayo muda kidogo tu ikafa tena, changamoto hii imewafanya watu wengi kichukia Brevis....ndio maana watu wakaona wajisalimishe kwa mnyama Crown ambaye hana changamoto kama hyo.
W jiulize kwann Crown ni vigumu kushuka bei hadi sasa na wakati ina matoleo ya mapya zaidi. Inamaana haiwaboi wamiliki wake, inawapa wanachohitaji.
Ila wadau bado wanazikimbiliaZinazingua sana
N kweli kabisa, watu hawakimbii gari bila sababupia Crown ina offer vitu vingi zaidi ya brevis
Gari yenyew ishakuwa discontinued na manufacturers
Ukifatilia Vizuri soko la used crown limepanda sana
Hasa baada ya kupandishiwa ushuru
Kuagiza sahivi andaa 17-20 GRS180
Mkononi iliyonyooka kuanzia 10-14
Crown pia ina eco-mode ambayo ina consumptions nzuri ya mafuta kwa sisi tunaendesha vizuri tunapata 13km/L
Nani anakimbili Brevis.....unaweza kaa miezi 6 usione namba E. Mm binafsi mpaka sasa sijaona Brevis namba E najua hata kama zipo ni zakutafuta kwa tochi, lakin Cown zipo za kumwagaIla wadau bado wanazikimbilia
Hivi brevis inaweza kutembea km ngapi kwa lita?Kama sio mtu wa misele na unajitambua hizo ndio gari za kununua.
Mkuu brevis inafika 10km/lTatizo ni unyumbu wetu tu, tukishaanza kuparamia gari aina fulani woote tunaenda. Hii ndo inasababisha gari aina fulani kushuka paap sababu kila mtu anataka auze aungane na wenzake walipokimbilia.
Crown na Brevis zinapishana kidogo sana. Lita moja brevis 11km wkat crown 12km mpaka 12.5, hii haiwezi sababisha gap kubwa hivyo la bei. Crown 1 iliyotumika nchini unapata brevis 2 tena ukikaa vzr 3. UNAZIKUMBUKA ALTEZZA? ULIKUWA UKIITAKA UNAUZIWA TSH NGAPI? NA WAKATI HUO HUO CRESTA GX100 ILIUZWAJE? SASA HIVI ALTEZZA BEI ZAKE?
Ccm nao wanajua tabia zetu hivyo wanaitumia kucheza na ushuru wa magari, ila ukiagiza bei huko nje hazitofautiani sana. Hata altezza bei bado ni nzuri tu, ikishaingia humu ndo inakuta watu wote wimbo ni crown inaporomoka bei.
Nlimaanisha izo used, kuna watu wanazichukua hivyo hivyo na changamoto zakeNani anakimbili Brevis.....unaweza kaa miezi 6 usione namba E. Mm binafsi mpaka sasa sijaona Brevis namba E najua hata kama zipo ni zakutafuta kwa tochi, lakin Cown zipo za kumwaga
6-7Hivi brevis inaweza kutembea km ngapi kwa lita?
Mafuta
Aisee kumbe bei zimepanda hivi? Mpaka 17m ?pia Crown ina offer vitu vingi zaidi ya brevis
Gari yenyew ishakuwa discontinued na manufacturers
Ukifatilia Vizuri soko la used crown limepanda sana
Hasa baada ya kupandishiwa ushuru
Kuagiza sahivi andaa 17-20 GRS180
Mkononi iliyonyooka kuanzia 10-14
Crown pia ina eco-mode ambayo ina consumptions nzuri ya mafuta kwa sisi tunaendesha vizuri tunapata 13km/L
Ndio inafika. Ila iwe nzima sana with no fault. Sio hizi za M4 sijui 5.Mkuu brevis inafika 10km/l
Hiyo gari itakuwa na shida. Watu tunatumia 1HZ 6 cylinder 4200cc kwa mwendo wa kawaida tunapata 7KM per litre.
Aisee kumbe bei zimepanda hivi? Mpaka 17m ?