kupenda kweli kaaazi!

mashakaDaima

Member
Joined
May 3, 2013
Posts
38
Reaction score
5
Kupenda si kazi bali kumpata anayekupenda ndio issue! Hapa juzi kati nimepata zali la kimahusiano na mtoto wa kifilipino tulikuwa tunawasiliana tu vizuri mpaka tukapanga mipango mathubuti ya hapo baaadaye japo sijawahi kumuona ila tu ni kupitia mtandaoni(myopera blog) lakini cha ajabu dada akawa anataka nimtumie hela nyingi tu baada ya knielezea matatizo mengi aliyo kuwa nayo nami bila kinyongo sikutaka kumkatisha tamaa nikaahidi nitampatia nikipata ila cha ajabu nikaja tambua kuwa yule si mchumba wala mke coz anajali sana hela na nilipochelewa kumpatia hiyo hela akawa analaumu sana na hadi sasa ameniblock kwenye frndship! Daa kweli mapenzi ni kama sukari gulu
 
unachekesha sana yaani ulimpenda mtu wakati hujawahi kumuona? hauko serious aisee
 
hayo ndo mapenzi ya mtandaoni,next time uwe makini wengine sio watu niv..............
 
Wanaijeria hao wewe mpuuzi.. Ina maana kwa umri wako hio huwajui wanaijeria? Watakupiga pesa zako zote wewe jifanye kibo*o dinda utasaga meno
 

Aisee, sasa na hii ni mada kweli?? Haya bana. Ngoja tufunge mabakuli yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…