Utapata shule %100 ,,
Ila sahau comb za sayansi kwa first selection,maana kwa fist wanatumia kigezo kichokuwa rasmi Cha minimum Ni div2 ya point 20,ila kombi za Sanaa unapata bill shaka pia kwa sayans wanaweza kukuchagua kwa second selection
Utapata shule %100 ,,
Ila sahau comb za sayansi kwa first selection,maana kwa fist wanatumia kigezo kisichokuwa rasmi Cha minimum Ni div2 ya point 20,ila kombi za Sanaa unapata bill shaka pia kwa sayans wanaweza kukuchagua kwa second selection
Mbona madogo mna hofu sana yaani unakuta mtu amefaulu kabisa lakini presha ipo juu Sjui waliofeli wapo katika hali gani kama waliofaulu tu hali zao ndo ziko hivi